A
Anonymous
Guest
Vyoo vya Umma vya eneo la Mapokezi ya Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya ni vichafu havifai kuwa eneo kama la Hospitali kubwa ya umma. Huku ni kurudisha nyuma jitihada za Rais Samia anayekosa usingizi kuboresha huduma za afya kila siku