Vyoo vya kuchuchumaa ni bora kuliko vyoo vya kukalia

Choo cha kuchuchumaa ni the best.. kiafyA... kwa kuwa unapochuchumaa Utumbo unakaa 90 degree.. ambayo ni nzuri kiafyA..
Kama unajenga/ umejenga nyumba weka choo cha kuchuchumaa kwenye master yako
 
Vyote ni vyoo vizuri tu kulingana na wewe au watumiaji wanavyo kihandle, nina miaka mingi natumia choo cha kukaa sijaona tatizo
 
Nimebakia nacheka tuuu khaaaa mada hiii chibokooo
 
Huwa Unajitawazeje Choo cha Kukaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…