KERO Vyoo vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar vinahitaji maboresho, angalia hali ilivyo

KERO Vyoo vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar vinahitaji maboresho, angalia hali ilivyo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Leo nimeandika Uzi humu kuhusu mambo ya vyoo kwenye maeneo ya umma.
 
Hivi wewe unaenda ofisi ya mkuu wa mkoa kwenda kujisaidia au kwa kikazi?
Kuna jamaa juzi nilikua nambishia kuhusu utafiti wake kwamba kwa Afrika Watanzania wanaongoza kwa uwezo mdogo wa kufiri.

Kupitia post yako naanza kukubaliana naye.
 
Back
Top Bottom