Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Oct 17, 2024 #21 Mkuu wa Mkoa ni nani kwani?
P povour3 Senior Member Joined Dec 11, 2019 Posts 177 Reaction score 638 Oct 17, 2024 #22 Leo nimeandika Uzi humu kuhusu mambo ya vyoo kwenye maeneo ya umma.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Oct 18, 2024 #23 Shotocan said: Hivi wewe unaenda ofisi ya mkuu wa mkoa kwenda kujisaidia au kwa kikazi? Click to expand... Kuna jamaa juzi nilikua nambishia kuhusu utafiti wake kwamba kwa Afrika Watanzania wanaongoza kwa uwezo mdogo wa kufiri. Kupitia post yako naanza kukubaliana naye.
Shotocan said: Hivi wewe unaenda ofisi ya mkuu wa mkoa kwenda kujisaidia au kwa kikazi? Click to expand... Kuna jamaa juzi nilikua nambishia kuhusu utafiti wake kwamba kwa Afrika Watanzania wanaongoza kwa uwezo mdogo wa kufiri. Kupitia post yako naanza kukubaliana naye.