Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Unakunya mavi magumu sana mkuu jaribu kula mapapai au maparachichi kulainisha nya yako hiyo kadhia hautoipata.sijui ni ushamba wangu ama vipi,hivi vyoo vya sinki kila nikijitahidi(hasa vya kukaa)naona ukiwa unashusha kontena za makonda maji yarukia kwenye makalio.
Sasa ni mimi tu,ama ni asili yake hata kwenu ama vipi,mana kontena ikiwa majini inavurugika na maji ukishusha lingine maji hayo hayo yanarukia chini ya makalio.
Sasa hii inatofauti gani na vyoo vile vya kulenga?
Tena bora vile kama havijajaa jaa
الجنون فنون
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakunya mavi magumu sana mkuu jaribu kula mapapai au maparachichi kulainisha nya yako hiyo kadhia hautoipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukila mapapai na maparachi mavi yanakuwaje mkuu?!!Unakunya mavi magumu sana mkuu jaribu kula mapapai au maparachichi kulainisha nya yako hiyo kadhia hautoipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhah mkuu vyoo vyetu vya kiswahili havikidhi vigezo na masharti hayo mkuuChukua tishu kama tano hvi kisha ziweke kwenye yale maji.i mean mzigo unapodondokea.then anza kushusha mzigo uone kama utalukiwa na maji.no kulukiwa na maj.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sorry hapo nime maanisha kwa wale wenye vyoo vya sinki.but kwa shimo sijapata kaidea mkuuAhhah mkuu vyoo vyetu vya kiswahili havikidhi vigezo na masharti hayo mkuu
الجنون فنون
Kama yangu tu, njoo pm nikutumie picha
Al Junuun Funuunsijui ni ushamba wangu ama vipi,hivi vyoo vya sinki kila nikijitahidi(hasa vya kukaa)naona ukiwa unashusha kontena za makonda maji yarukia kwenye makalio.
Sasa ni mimi tu,ama ni asili yake hata kwenu ama vipi,mana kontena ikiwa majini inavurugika na maji ukishusha lingine maji hayo hayo yanarukia chini ya makalio.
Sasa hii inatofauti gani na vyoo vile vya kulenga?
Tena bora vile kama havijajaa jaa
الجنون فنون
Sasa wewe huwa unalenga wapi mkuu ?Wewe utakua unalengesha kinyeo kwenye liletundu lenye maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]