VYOO VYA SINKI NI KAMA VYA SHIMO TU,UKIDONDOSHA KWEPA KIDOGO

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,621
sijui ni ushamba wangu ama vipi,hivi vyoo vya sinki kila nikijitahidi(hasa vya kukaa)naona ukiwa unashusha kontena za makonda maji yarukia kwenye makalio.

Sasa ni mimi tu,ama ni asili yake hata kwenu ama vipi,mana kontena ikiwa majini inavurugika na maji ukishusha lingine maji hayo hayo yanarukia chini ya makalio.

Sasa hii inatofauti gani na vyoo vile vya kulenga?
Tena bora vile kama havijajaa jaa

الجنون فنون
 
Unakunya mavi magumu sana mkuu jaribu kula mapapai au maparachichi kulainisha nya yako hiyo kadhia hautoipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hyo mkuu kumbe vyoo vya sinki vimeandaliwa kwa ajili ya wale wanaotoa maver magumu tu?

الجنون فنون
 
Chukua tishu kama tano hvi kisha ziweke kwenye yale maji.i mean mzigo unapodondokea.then anza kushusha mzigo uone kama utalukiwa na maji.no kulukiwa na maj.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhah mkuu vyoo vyetu vya kiswahili havikidhi vigezo na masharti hayo mkuu

الجنون فنون
 
sijui ni ushamba wangu ama vipi,hivi vyoo vya sinki kila nikijitahidi(hasa vya kukaa)naona ukiwa unashusha kontena za makonda maji yarukia kwenye makalio.

Sasa ni mimi tu,ama ni asili yake hata kwenu ama vipi,mana kontena ikiwa majini inavurugika na maji ukishusha lingine maji hayo hayo yanarukia chini ya makalio.

Sasa hii inatofauti gani na vyoo vile vya kulenga?
Tena bora vile kama havijajaa jaa

الجنون فنون
Al Junuun Funuun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwaulize watu wa magogoni. Maana ndio watumiaji wakubwa wa hivi vyoo. Kama namwona Bashite
 
Back
Top Bottom