TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
Ninaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama.
Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi. Mamlaka husika tunaomba mchukue hatua kuboresha hali ya hivi vyoo, ni aibu sana.
Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi. Mamlaka husika tunaomba mchukue hatua kuboresha hali ya hivi vyoo, ni aibu sana.