TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
Nchi hii viongozi ni wepesi sana kuanzisha mambo mapya ila matunzo ni 0, hilo la Kahama lipo mpaka stand kuu DodomaNinaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama.
Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi.Mamlaka husika tunaomba mchukue hatua kuboresha hali ya hivi vyoo, ni aibu sana.
Usimamizi ZERO alafu wanachukua Pesa, hapo hapo KESHO utakuta kuna mwehu mmoja kaibuka anapinga na kusema mnaichafua kahama km alivyoibuka yule dogo wa UDOM na uongozi wa Chuo kupinga suala la KUNGUNI waliojazana UDOMNchi hii viongozi ni wepesi sana kuanzisha mambo mapya ila matunzo ni 0, hilo la Kahama lipo mpaka stand kuu Dodoma
Ukiina hivyo ujue fedha za fumigation ziliingia mfukoni mwa wajanjana uongozi wa Chuo kupinga suala la KUNGUNI waliojazana UDOM
Nimesikia leo redioni hawapingi suala la kuwepo KUNGUNI Ila wanapinga suala la mwanafunzi kufichua maovu JF kwamba UDOM kumejaa KUNGUNIUkiina hivyo ujue fedha za fumigation ziliingia mfukoni mwa wajanja
Kahama ni mji mchafu sana.Usimamizi ZERO alafu wanachukua Pesa, hapo hapo KESHO utakuta kuna mwehu mmoja kaibuka anapinga na kusema mnaichafua kahama km alivyoibuka yule dogo wa UDOM na uongozi wa Chuo kupinga suala la KUNGUNI waliojazana UDOM
Wapumbavu walitakaje kama wanasiasa walivyoNimesikia leo redioni hawapingi suala la kuwepo KUNGUNI Ila wanapinga suala la mwanafunzi kufichua maovu JF kwamba UDOM kumejaa KUNGUNI
Sasa hizo 300 300 na 1000 1000 wanazochukua nani anazila? Badala ya kununua vifaa vya usafi?Kahama ni mji mchafu sana.
Yaan hawapingi kuhusu KUNGUNI kuwepo UDOM Ila wanapinga mwanafunzi kufichua maovu JF kwamba UDOM kumejaa KUNGUNI, sasa aliekula Pesa za kupulizia KUNGUNI atasema alipozipeleka maana dogo kamchomaWapumbavu walitakaje kama wanasiasa walivyo
Dodoma na Cdt usafi walikuwa wanajitahidi sana, stand kuu sina ufahamu nayo.Sasa hizo 300 300 na 1000 1000 wanazochukua nani anazila? Badala ya kununua vifaa vya usafi?
Kwa hio Pesa wanakusanya kisha wanaongeza vitambi?Dodoma na Cdt usafi walikuwa wanajitahidi sana, stand kuu sina ufahamu nayo.
Na hela wanazikusanya kinoma. Kuna madem flani mawili yamekaa 'kiforex exchange'.
Yaani Haja kubwa 300 na haja ndogo 300???Ninaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama.
Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi.Mamlaka husika tunaomba mchukue hatua kuboresha hali ya hivi vyoo, ni aibu sana.