A
Nimejaribu kuingia behewa namba saba nimeshindwa kuliona.Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote.
Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.
Mitano tena Kwa mama
Mbona hayo madogo vipi tunavyoliuwa taifa letu taratibu huku tukichekelea?Kwa manufaa ya siku,wiki,mwezi au miaka mitano?Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote.
Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.