KERO Vyoo vya Uwanja wa ndege wa Sheikh Abeid Aman Karume ni aibu tupu

KERO Vyoo vya Uwanja wa ndege wa Sheikh Abeid Aman Karume ni aibu tupu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje. Mvua zikinyesha maji yanavuja na ukielekea chooni juu kuna bonge la tobo imagine wazungu wanaona.

Waambie waende kule chooni waone chini mashimo wazi machafu balaa wakati hii ni international ndege rais wa watu mwinyi amepambana lakini kupalewa waswahili washapaharibu, wafundisheni vyoo smart vya public kwa mujibu wa standard za ISO 90020 HUWA KILA MIEZI 4 VINATOLEWA OUTLET ZA CHINI ZA MAJI NA KUUNGA MPYA; UNATOA KOKI ZOTE UNAFUNGA MPYA PLUS UNAANJALIA MIFUMIKO YA VYOO NAACCESSORIES ZAKE UNAWEKA MPYA

NIKISAFIRI WIKI IJAYO NITAVIZIA NIPIGE PICHA UONE AIBU WANAYOTUTIA ZANZIBAR
 
PICHA YA MUHIMU MNO KULIKO MAELEZO HAYO YOYE
 
  • Thanks
Reactions: Lax
hakuna cha ajabu hapo, maintenance ndio moja shida kubwa ya mtu mweusi.
 
Back
Top Bottom