Vyote nimekabidhi isipokuwa hiki kidubwasha

Kidumu chama Cha Majobless Promax
 
Ewaa kijana Sasa ume iva, hivi min -me na makutupora kijana niki mpa cheo Kuna shida?
 
Mie nahisi baadhi ya serikalli zitasitisha ajira au kupunguza wafanyakazi kupunguza gharana. Tujiandaeni jamani, lolote linaweza kutokea.
 
Sikuzote usijiamini na kujisahau kama wewe ni muajiriwa wa private sectors au hizi Agencies kutoka nje... Unatakiwa ufanye kazi huku ukijiua kesho hiyo kazi huna tena chochote kinaweza kutokea... Ndiyo maana mtu unayefanya kazi private sectors inakubidi utunze akiba muda wote na ujitahidi kuwekeza ili likitokea lakutokea kazini unapo pakujishika...
 
basi namteua dosho12 kuwa afisa usajili wanachama wa chama Cha. Ma jobless pro max.

katibu min -me, makamu Bolotoba, mwanasheria mwanasheria Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, mratibu wa mipango Edo kissy
TAARIFA KWA UMMMA πŸ€“

Mh. Rais wa Majobless Promax Intelligent businessman amefanya uteuzi, Kwa kumteua ndugu dosho12 Kuwa Afisa usajili wa wanachama Cha Majobless Promax.

Majukumu na kazi yake yameanza rasmi Leo!

Kidumu chama Cha Majobless Promax

Semaji la chama
makutupora
 
basi namteua dosho12 kuwa afisa usajili wanachama wa chama Cha. Ma jobless pro max.

katibu min -me, makamu Bolotoba, mwanasheria mwanasheria Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder
Mh Rais wa majobless pro max Intelligent businessman mimi dosho12 naahidi kutumikia chama kwa moyo wangu wote chini ya viongozi wangu na natoa ahadi ya kusajili wanachama wenye sifa na weledi katika chama, Mungu ( sorry min -me 😁😁) aniongoze. Naomba kuwasilisha

Kidumu chama cha majobless pro max
 
min -me kijana wako huyo , muongoze katika chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…