Vyote nimekabidhi isipokuwa hiki kidubwasha

Mitano tena😂
Kidumu chama Cha majobless pro max
 
Hizi kazi za kuajiriwa sometimes ni utumwa. Ikitokea any change in technology or policies mambo yanaharibika kwa waajiriwa. So ni suala la kujipanga kwa plan B
Chain ni ndefu Sana sema Sisi washika pembe ni watu wa kwanza kujeruhiwa
Ni Muda ni jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…