Vyuma Vime kaza: Serikali ya Kenya kuaza kufuta wanyakazi wake kijumla

Vyuma Vime kaza: Serikali ya Kenya kuaza kufuta wanyakazi wake kijumla

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Hivi habari zingine ni za kushangaza sana. Matajiri wa middle income wamesema lazima wafute watu kazi kisa hakuna pesa na madeni yapo hadi matakoni.
Sikutarajia nchi inayo jigamba kuwa uchumi wake unakua kwa kasi ya umeme inaweza fanya kitendo kama hiki.
Polepole ukweli unajitokeza kutoka kwa pazia. Hata maskini wameaza kuwacheka, Kodi ya kila mtu binafsi mnalipa karibu mara mbili wastani wa EAC, Miradi mikubwa hata shilingi moja hamuwezi jitegemea lazma mkope😂😂😂
==================

State targets Sh182b cut in public wage bill

fkxa6eh7vijgvu5dd58face43bb.jpg

Salaries and Remuneration commission (SRC) chair lady Lyn Mengich and Dalmas Otieno.The government has convened a three-day conference as it eyes to trim public wage bill by at least Sh182 billion.

The conference, which is set to discuss the country’s rising wage bill next week, comes in the wake of mounting liquidity pressure in both the national and county governments that has been worsened by piling debt repayments.

The Salaries and Remuneration Commission (SRC) is the convener of the conference that will bring together all State departments, ministries, commissions and county heads, as well as representatives from the private sector and civil societies.

“The public wage bill has reduced from 57 per cent of revenues in 2013 to 48.1 per cent in 2018 as a result of revenue growth and initiatives by the SRC,” said SRC Chairperson Lyn Mengich at a press briefing in Nairobi yesterday.

“However, concerted effort by all arms of government is required to achieve a wage bill of not more than 35 per cent of revenue as per the PFM (Public Financial Management) Regulations (2015) and a wage bill of not more than 7.5 per cent from the currently estimated 7.9 per cent in line with developing countries.”

This will, however, be a tall order for the government since achieving the wage bill target of 35 per cent of revenues would mean trimming public sector salaries and allowances by at least Sh182 billion.

SRC has recently faced stiff opposition, particularly from parliament and the Executive, with the latter repeatedly passing resolutions to raise their perks.

In August, the Parliamentary Service Commission paid every MP Sh250,000 backdated to October last year, pushing up the public wage bill by Sh1.2 billion annually.

County governments have also been cited for the splurge on allowances, with wages taking up more than half of several county budgets.

In the first nine months of the 2018/2019 financial year, for example, counties spent Sh120.5 billion (52 per cent) out of Sh249 billion disbursements on personnel emoluments.

This has largely been blamed on bloated administrations particularly county executive perks, with just 20 per cent of the devolved units’ total expenditure going to development activities.
 
Wakenya wanatudharau Watanzania sababu ya kutokusoma.
Mtoa mada kwenye hili andiko la Kiingeleza hakuna sehemu wamesema watapunguza wafanyakazi. Hakuna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utavuliwa uraia jomba
 
Wakenya wanatudharau Watanzania sababu ya kutokusoma.
Mtoa mada kwenye hili andiko la Kiingeleza hakuna sehemu wamesema watapunguza wafanyakazi. Hakuna
Jomba utapewa lebo ya PingaPinga FC! 😂 😂
 
Wakenya wanatudharau Watanzania sababu ya kutokusoma.
Mtoa mada kwenye hili andiko la Kiingeleza hakuna sehemu wamesema watapunguza wafanyakazi. Hakuna
Acha ujinga, mtoa mada ni mkenya sio mtanzania.
 
Kenya huwa inajitapa kukusanya mapato makubwa zaidi kumbe pesa yote inaenda kulipa Mishahara ya watumishi na kulipa madeni ya kifisadi
 
Mkenya yupi kizungu kinampiga chenga? Wapi kwenye hio article panasema watu watafutwa kazi?
Kwahiyo kila mkenya anajua kizungu?, 40% ya wakenya pekee ndio wanajua kizungu. Tatizo wewe umelishwa ujinga kwamba wakenya wote wanajua kizungu.

Ila huyo jamaa aliyeweka huu uzi, anakijua kizungu vizuri zaidi kuliko Kiswahili, ila ametoka ktk dimbwi la kitumwa, hashobokei kizungu kama walivyo wakenya wengine, usijaribu kumchokoza kwa kiingereza utashindwa kuchangia huu Uzi, atakudhalilisha kama mtoto wa darasa la pili.
 
Mbona maneno mengi! Insha ndefu!
Ebu wewe tuonyeshe wapi kwenye article watu watafutwa kazi?
 
Wakenya wanatudharau Watanzania sababu ya kutokusoma.
Mtoa mada kwenye hili andiko la Kiingeleza hakuna sehemu wamesema watapunguza wafanyakazi. Hakuna
Wakulaumiwa ni ccm na John jiwe
 
Wakenya wanatudharau Watanzania sababu ya kutokusoma.
Mtoa mada kwenye hili andiko la Kiingeleza hakuna sehemu wamesema watapunguza wafanyakazi. Hakuna
kwahiyo nawewe umekuja mbiombio ili ushuhudie watu wakifutwa kazi?.

sio kutokusoma tu,hata umbea kama wako na mawazo ya kichawi vinakushusha[emoji3][emoji3]
 
Wakenya wanatudharau Watanzania sababu ya kutokusoma.
Mtoa mada kwenye hili andiko la Kiingeleza hakuna sehemu wamesema watapunguza wafanyakazi. Hakuna

itakuwa wewe ni mgeni hapa. Munyu unahusika ili kuvuta wengi. teh teh tehehe
 
Wakenya wanatudharau Watanzania sababu ya kutokusoma.
Mtoa mada kwenye hili andiko la Kiingeleza hakuna sehemu wamesema watapunguza wafanyakazi. Hakuna
🤣 🤣
ungewacha praise team ya sii sii emu ifanye kazi yao atleast leo walipwe kitu
 
Looks like stupidity is topping the charts, I like it! I am patient with stupidity but not with those who are proud of it.
Mpumbavu ni yule aliyekwenda shule lakini bado anaendekeza " tribalism".
 
Wekomora hivi biashara yako ya vifuko vya flytoilet inakulipa vizuri naona sikuizi umeacha kutegemea free wifi Uhuru park
Tena ina hela..mwenzako mi na import vifuko vingi kutoka ulaya
 
Back
Top Bottom