Vyuma Vime kaza: Serikali ya Kenya kuaza kufuta wanyakazi wake kijumla

Vyuma Vime kaza: Serikali ya Kenya kuaza kufuta wanyakazi wake kijumla

Nikweli maana slum Kenya ni mobu kila siku tunasikia slum mpya hivi naii kuna slum ngapi
Kenya kama mahali si planned tunaita slum,
Na Dar more than 70% is unplanned....tafakari
 
Kwahiyo kila mkenya anajua kizungu?, 40% ya wakenya pekee ndio wanajua kizungu. Tatizo wewe umelishwa ujinga kwamba wakenya wote wanajua kizungu.

Ila huyo jamaa aliyeweka huu uzi, anakijua kizungu vizuri zaidi kuliko Kiswahili, ila ametoka ktk dimbwi la kitumwa, hashobokei kizungu kama walivyo wakenya wengine, usijaribu kumchokoza kwa kiingereza utashindwa kuchangia huu Uzi, atakudhalilisha kama mtoto wa darasa la pili.
Kizungu ni lugha gani?
Msituchafulie kiswahili tafadhali
 
Back
Top Bottom