Kwahiyo kila mkenya anajua kizungu?, 40% ya wakenya pekee ndio wanajua kizungu. Tatizo wewe umelishwa ujinga kwamba wakenya wote wanajua kizungu.
Ila huyo jamaa aliyeweka huu uzi, anakijua kizungu vizuri zaidi kuliko Kiswahili, ila ametoka ktk dimbwi la kitumwa, hashobokei kizungu kama walivyo wakenya wengine, usijaribu kumchokoza kwa kiingereza utashindwa kuchangia huu Uzi, atakudhalilisha kama mtoto wa darasa la pili.