moj6 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2017 Posts 3,354 Reaction score 4,985 Dec 28, 2017 #1 Moja ya vitu vinavyosumbua akri yangu ni kumbukumbu ya hela nilizohonga miaka 2 iliyopita mara laki Mara 50k ,vp mwanaume wenzangu hili tatzo ni la wote au ni Mimi tu?
Moja ya vitu vinavyosumbua akri yangu ni kumbukumbu ya hela nilizohonga miaka 2 iliyopita mara laki Mara 50k ,vp mwanaume wenzangu hili tatzo ni la wote au ni Mimi tu?