Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Jembe ni JembeWakuu za mida mida! Najua mida hii wengine walinzi, wengine tuko mgegedoni, wengine wanga
Ili neno vyuma vimekaza limeanzia wapi, ni nani alikazwa na vyuma akaona hilo lowe neno (msemo)
Vyuma vimekaza hadi sikufatilia nani alianzisha