Vyuma vimekaza..nani muanzilishi wa hili neno,ni vyuma gani?

Vyuma vimekaza..nani muanzilishi wa hili neno,ni vyuma gani?

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Wakuu za mida mida! Najua mida hii wengine walinzi, wengine tuko mgegedoni, wengine wanga

Ili neno vyuma vimekaza limeanzia wapi, ni nani alikazwa na vyuma akaona hilo lowe neno (msemo)
 
Duh! Hiyo paragraph ya kwanza imeniacha hoi aisee [emoji1]
 
Wakuu za mida mida! Najua mida hii wengine walinzi, wengine tuko mgegedoni, wengine wanga

Ili neno vyuma vimekaza limeanzia wapi, ni nani alikazwa na vyuma akaona hilo lowe neno (msemo)
Jembe ni Jembe
 
Mi nimelisikia kwa Mara ya kwanza gym....siku mkiwa mmepiga vyuma(uzito)...kwa mda mrefu mpaka viungo unavisikia ndo watu wanasema"vyuma vimekaza"
 
Ni yule aliyeanzisha..nimewaletea chuma hiki..kinatema checheee [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nilisikia mara ya kwanza kwenye wimbo wa Christian Bella
 
Back
Top Bottom