Vyuma Vimekaza: Tupeane Uzoefu; Vimekaza Kivipi!

Kindeena

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
11,462
Reaction score
21,124
Habari!

Kuna huu msemo umejipatia umaarufu mitandaoni;( ninasema mitandaoni maana mimi nipo mbali na jamii). Nipo porini, kwa hiyo sijui kinachoendelea mitaani.


Binafsi mimi nipo katika sekta ya kilimo, na sijaona huu ukazaji wa vyuma, maana kama ni marufuku ya export ya mazao, ni ya kawaida Mara zote.


Hakuna popote nimeona mabadiliko katika mfumo wa uchumi ikiwemo demand and supply.


Sasa ndugu zangu, embu kila mmoja tupeane uzoefu popote ulipo:


1. Vyuma vimekukaza vipi

2.Vimeanza lini kukaza?

3. Kwanini vimekaza?

4.Vyuma vitalegea lini?


NB: Binafsi, kusema kweli, sijaona mabadiliko ya kiuchumi katika awamu hii ukilinganisha na ile iliyopita.


Karibu


Aikambee toka porini!
 
Demand na supply ya porini toka lini ikabadilika sasa?!
 
Habari za mihangaiko ya mchana kutwa wana jf wenzangu,
Swali ni je hivi vyuma vimekaza vyenyewe au kuna mtu katumwa kuvikaza maaana mhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…