Vyuma vimekaza

Mass63

Member
Joined
Dec 31, 2016
Posts
33
Reaction score
37
Siku hizi kila mtu analamikia vyuma. Mkuu anasema ukiona vyuma vimekaza weka grease.

 
Wanabodi,nianze kwa kuwatakia kheri ya siku ya wapendanao.Vile vile kwa wale wakristu wenzangu leo ni siku ya majivu na mwanzo wa mfungo na kujitafakari ktk maisha ya kiroho kuelekea sikukuu ya Pasaka.

Naomba mwenye kuelewa chanzo au maana halisi ya msemo huu wa vyuma vimekaza.Je?,Chanzo chake na maana halisi ni nini?

Nasubiri kusikia toka kwenu.
Wasalaam
MWENZETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…