Vyuma vimekaza

Vyuma vimekaza

Wanabodi,nianze kwa kuwatakia kheri ya siku ya wapendanao.Vile vile kwa wale wakristu wenzangu leo ni siku ya majivu na mwanzo wa mfungo na kujitafakari ktk maisha ya kiroho kuelekea sikukuu ya Pasaka.

Naomba mwenye kuelewa chanzo au maana halisi ya msemo huu wa vyuma vimekaza.Je?,Chanzo chake na maana halisi ni nini?

Nasubiri kusikia toka kwenu.
Wasalaam
MWENZETU
 
Back
Top Bottom