Watakuwa wanaangalia kwenye hizi huduma za kipesa za simu nafikiri hivyo.Alafu kuna kitu kinashangaza unakuta anapatia jina exqctly mda mwingine
Hatari sana
Kuna na zile sms za waganga naona jiran ishamletea matatizo kwenye familia yake
Aaa....waapi obe wangu hawezi kunifanyia huo ujingaHahahahaha mshikajiii kumbe na wewe au anko Obe anakuchezeaa
Vyuma vimekaza na girisi imejileta yenyewe mkuu, kazi ni kwako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vyuma kuzidi kukaza na kukazana ndo watu wanazidi kuumiza vichwa ili kuwaingiza mkenge watu wengine japo wengi tushakuwa makini make huu mwaka kila mtu anatafuta wa kumalizana nae kama mimi jamaa alivyotaka kumaliza na mm mwaka vizuri ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
Mwenye namba hiyo ndo msambazaji