Vyuma vinazidi kukaza ,utapeli nao unazidi (Tukutane tuliopokea sms kama hizi)

Vyuma vinazidi kukaza ,utapeli nao unazidi (Tukutane tuliopokea sms kama hizi)

Hatari sana

Kuna na zile sms za waganga naona jiran ishamletea matatizo kwenye familia yake
2c322b1f760568f105521f08bcd2c93f.jpg
mie nimetumiwa Jana hiyoo
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Vyuma kuzidi kukaza na kukazana ndo watu wanazidi kuumiza vichwa ili kuwaingiza mkenge watu wengine japo wengi tushakuwa makini make huu mwaka kila mtu anatafuta wa kumalizana nae kama mimi jamaa alivyotaka kumaliza na mm mwaka vizuri ....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
565b8c660fdf184c7943c95c6fbe134e.jpg


Mwenye namba hiyo ndo msambazaji
Vyuma vimekaza na girisi imejileta yenyewe mkuu, kazi ni kwako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Vyuma vimekaza na girisi imejileta yenyewe mkuu, kazi ni kwako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii hapana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzuri chuma cha mjerumani
 
Kuna mganga alinitumia SMS ya hivyo juzi nikampigia nikampa vidonge vyake akashindwa hadi kuongea kilichofuata nikampiga marufuku kwa kumwambia kuwa nitamripoti TCRA.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom