Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Sikuamini macho yangu.. Huyu jamaa ni tajiri mkubwa mtaani petu.. Sasa kaja na gari lake mpaka dukani, mlango wa mbele ukafunguliwa akashuka binti yake kuja kuomba chenji ya elfu tano dukani ili wagawane; familia ipate pesa ya mboga na baba abakie na pocket money.
Sikuamini macho yangu, nilikuwa na stress za ukata ila ghafla nikajikuta nafarijika...
Sikuamini macho yangu, nilikuwa na stress za ukata ila ghafla nikajikuta nafarijika...