Vyumaa: Leo nimemuona tajiri anagawana sh elfu tano na familia!

Maombi ya maskini ni mabaya siku zote"badala ya kufikiri namna ya kujikwamua kimaisha yy anaomba tajiri afirisike anasahau kuwa na yy anauota huo utajiri
 
Sikuamini macho yangu.. Huyu jamaa ni tajiri mkubwa mtaani petu.. Sasa kaja na gari lake mpaka dukani, mlango wa mbele ukafunguliwa akashuka binti yake kuja kuomba chenji ya elfu tano dukani ili wagawane; familia ipate pesa ya mboga na baba abakie na pocket money.
Sikuamini macho yangu, nilikuwa na stress za ukata ila ghafla nikajikuta nafarijika...
Utakuwa na roho ya kimasikini sana wewe
 
Kama bado nyumba na gari anavyo huyo hajatetereka kihivyo.
Kumbuka hiyo gari inatumia mafuta.
Masikini anapofarijika kuona tajiri anapitia nagumu hiyo ni ishara ya kuwa umskini utaendelea kumkalia.
 
Sikuamini macho yangu.. Huyu jamaa ni tajiri mkubwa mtaani petu.. Sasa kaja na gari lake mpaka dukani, mlango wa mbele ukafunguliwa akashuka binti yake kuja kuomba chenji ya elfu tano dukani ili wagawane; familia ipate pesa ya mboga na baba abakie na pocket money.
Sikuamini macho yangu, nilikuwa na stress za ukata ila ghafla nikajikuta nafarijika...
Kwahiyo kwasababu ana gari,basi mkamuita tajiri
 
nyie ndo mnaofurahia vyuma kukaza eti matajiri watafilisika
ila kumbuka hata huyo tajiri akifilisika hamuwezi kuwa sawa
Mkuu kweli miafrika ndivyo tulivyo eti wote tuwe sawa,wapi na wapi?Mleta mada ovyo kabisaa!!
 
Mawazo ya kamaskini haya,ndiyo maana sisi weusi tunadharaulika.huwezi kuwa timamu halafu ukashangilia shida za mwenzako,tuupige vita umaskini wa mawazo kwani unazaa kizazi kisichokuwa hata na huruma.
Kweli kabisa mkuu.
 
Mkuu kweli miafrika ndivyo tulivyo eti wote tuwe sawa,wapi na wapi?Mleta mada ovyo kabisaa!!
ndio hivyo kiongoz kuna jamaa hapa kitaa alikuwa anamfagilia sana magu nikamuuliza kwani kafanya lipi la maana tangu awe rais jamaa anaishia kusema "saivi tunaheshimiana" nikamabia una maana gani anaanza kutoa mifano kama ya mleta mada
 
mkuu awamu waimba mapambio ni wengi.
 
Back
Top Bottom