Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Sikuamini macho yangu.. Huyu jamaa ni tajiri mkubwa mtaani petu.. Sasa kaja na gari lake mpaka dukani, mlango wa mbele ukafunguliwa akashuka binti yake kuja kuomba chenji ya elfu tano dukani ili wagawane; familia ipate pesa ya mboga na baba abakie na pocket money.
Sikuamini macho yangu, nilikuwa na stress za ukata ila ghafla nikajikuta nafarijika...
Sijafurahi ila NIMEFARIJKA! Kifo cha wengi harusi...Kwa hiyo umefurahi?
Ndiyo mkuu, nilifarijika sana baada ya kujua kuwa am not alone in this...hahahahaaa yani ww ulifarijika kuona tajiri kachacha si ndiooo......duuuhh
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Acha Umbeya Mkuu.Sikuamini macho yangu.. Huyu jamaa ni tajiri mkubwa mtaani petu.. Sasa kaja na gari lake mpaka dukani, mlango wa mbele ukafunguliwa akashuka binti yake kuja kuomba chenji ya elfu tano dukani ili wagawane; familia ipate pesa ya mboga na baba abakie na pocket money.
Sikuamini macho yangu, nilikuwa na stress za ukata ila ghafla nikajikuta nafarijika...
Hujiulizi kwanini kachenji hio hela na nani kakuambia ndio the only cash walikua nayo? Mafuta ya gari unawajazia wewe? Sio kila mtu vyuma vimekaza ndugu, tupo kibao tunao ishi vizuri kuliko wakati wowote.
Kabisa, kilicho ikost nchi ni kwamba Raisi ana akili kama za huyu mtoa mada, kutamani matajiri waishi kama mashetani, asicho jua ni kwamba ukimbana tajiri, anapunguza uzalishaji na gharama kwa kupunguza wafanyakazi na kupunguza manunuzi ya luxuries, mwishowe wanao isoma namba wanabaki kuwa wale wale wanyonge ambao alidhani anawatetea.... Sasa hivi ardhi vijijini inauzwa bei ya kutupwa, walala hoi wanauza ekari hadi laki tano wakalipe ada za watoto. Mwishowe maskini wanazidi kumaskinika zaidiHongera mkuu kama rais angeongoza vizuri maana yake ungekuwa juu ya hapo.
Kabisa, kilicho ikost nchi ni kwamba Raisi ana akili kama za huyu mtoa mada, kutamani matajiri waishi kama mashetani, asicho jua ni kwamba ukimbana tajiri, anapunguza uzalishaji na gharama kwa kupunguza wafanyakazi na kupunguza manunuzi ya luxuries, mwishowe wanao isoma namba wanabaki kuwa wale wale wanyonge ambao alidhani anawatetea.... Sasa hivi ardhi vijijini inauzwa bei ya kutupwa, walala hoi wanauza ekari hadi laki tano wakalipe ada za watoto. Mwishowe maskini wanazidi kumaskinika zaidi
Na hakuna jambo hatari kuongozwa na mtu ambaye anawaza kimaskini.Mawazo ya mafukara