Vyumba chuoni isw dar vimejaa

Vyumba chuoni isw dar vimejaa

ng'ana nkamba

Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
55
Reaction score
19
Jamani mie sielewi hivi vyumba vya chuo cha ISW Dar. vinatolewa muda gani. Maana hata chuo hakijafunguliwa vimejaa. Hii ni kutokana na maelezo ya wahusika tuliowakuta chuoni tulipoenda kuchukua join instruction za kujiunga na chuo hicho, kinaanza kufanya admision za wanachuo wapya katikati ya mwezi huu. Sasa kinachonishangaza ni kuambiwa vyumba chuoni hapo vimejaa na wanachuo wapya hatujariport. Nisaidieni wale ambao mmepita hapo au mpo Hapo nijue hii ikoje. Maana natoka mbali sijui nitaishije .
 
Back
Top Bottom