House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

Joined
Jan 18, 2017
Posts
77
Reaction score
12
Sallam..napenda kuwakumbusha wana jamvi kwa uhitaji wa vyumba na nyumba za kupanga bado zinapatikana kwa bei nzuri tuu Dodoma mjini..popote upatakapo .Usihangaike wala kujichosha tupo kwa ajili yako..mawasiliano zaidi 0714140579
 
Tatzo yale malipo mnayotakaga ya mwez mmoja ni kwazo na kero kwa kweli...bora mngekuwa hata mnalipia kodi hiyo hela!
 
Mkuu sisi hatupo hivyo ulicho nacho kama ahsante ya usumbufu tuu..hatuwezi mlazimisha mtu kulipa kitu ambacho hana uwezo nacho..karibu
 
me nahitaji chumba kimoja ila kiwe karibu na soko la majengo bei isizidi elfu 30.
kiwe cha nje ama ndani vyovyote sawa tuu,iwe nyumba ya bkock au tope hakuna tabuu.
maji ni muhimu yawepo japo umeme si lazima saaanaaa
kiwe cha ndani au cha nje vyovyote,ila nyumba isiwe na masharti ya kupangiana muda wa kurudi.
Fanya mchakato mkuu
 
Mkuu kwa hiyo bei na mahitaji yako sio rahisi kupata ..nakushauri ingekuwa hata 80 alaf karibu na soko ni changamoto boss wangu
 
Nahitaji chumba self contained na sebule, maeneo Karibu na Chuo cha Mipango... Bei isizidi 100K, pia Nyumba ya kupanga maeneo hayohayo bei isizidi 200K
 
Boss nyumba ipo Area C ina vyumba vitatu moja master na dinning mbili bei 250..gari moja hadi chuo cha mipango hot deal hiyo..chunba na sebule master kipo bahi road gari moja pia bei 100..kwa mwezi mkuu naomba mrejesho
 
Mkuu kwa hiyo bei na mahitaji yako sio rahisi kupata ..nakushauri ingekuwa hata 80 alaf karibu na soko ni changamoto boss wangu
Mkuu kwa hiyo bei na mahitaji yako sio rahisi kupata ..nakushauri ingekuwa hata 80 alaf karibu na soko ni changamoto boss wangu
Mkuu kwa hiyo bei na mahitaji yako sio rahisi kupata ..nakushauri ingekuwa hata 80 alaf karibu na soko ni changamoto boss wangu
so naweza pata mitaa gani kwa hii pesa
 
chumba dodoma

Req...

-Ceiling (gypsum)
-Tiles
-Aluminium
-Maji
-Umeme

Hata kama sio Master bedroom its okee

Nahitaji dodoma
 
Uwe unatupia picha ndani na nje na mazingira ndo bei iwe ya mwisho
 
Back
Top Bottom