House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

Labda nijaribu kuliweka hili swala wazi na kiuhalisia..Dodoma ifahamike haikuwa tayari kwa ujio wa mkupuo wa namna hiyo pia huwezi fananisha na Dar au Mwanza au mikoa mingine ki ujenzi wa nyumba za makazi..nyumba ni chache na idadi imekuwa kubwa ya uhitaji so wenye hizihzi nyumba chache wanadengua na bei inapanda bila utaratibu..so msishangae chumba master ni laki mpaka na nusu na sebuld ndio mpaka mbili..wengi wanaohitaji wanachukua kwa mfumo wa kushare nyumba ya laki nne wawili mpaka watatu..
 
Si kweli madalali,ndio mmepandisha bei!

150K ndani ya fence angalau vyumba viwili vya kulala na choo vipi sipati?
 
Thread nzima hakuna hata picha wewe jamaa hizo nyumba hauendagi kuziona nn mpaka upgiwe simu tu ,,unakuta unakosa wateja kisa hakuna picha
 
Ok sawa ndugu..ukiwa na uhitaji au jamaa utanjulisha basi
Una nyumba ya vyumba viwili,sebuleni,jiko,choo na bafu. Ikiwezekana maji na umeme wa kujitegemea. Kodi laki 2 kwa mwezi na malipo kuanzia miezi mitatu.
 
Kuna nyumba inavyumba viwili kimoja master jiko na sebule umeme na maji wakwako ina tiles jipsum na madilisha aluminium inataka laki mbili na nusu miezi sita..itafaa?
 
Back
Top Bottom