Ipo wapi hiyo kaka nahitaji namba yangu 0716863406Kuna nyumba inavyumba viwili kimoja master jiko na sebule umeme na maji wakwako ina tiles jipsum na madilisha aluminium inataka laki mbili na nusu miezi sita..itafaa?
Uwezo ni laki 2 na malipo kuanzia miezi mitatu... Nimeweka urefu wa kamba yangu. Nkuhungu hapanaKuna nyumba inavyumba viwili kimoja master jiko na sebule umeme na maji wakwako ina tiles jipsum na madilisha aluminium inataka laki mbili na nusu miezi sita..itafaa?
Hii ipo eneo gani ?Kuna nyumba inavyumba viwili kimoja master jiko na sebule umeme na maji wakwako ina tiles jipsum na madilisha aluminium inataka laki mbili na nusu miezi sita..itafaa?
Ipo swaswa nduguHii ipo eneo gani ?
Ipo maeneo gani?Kuna nyumba inavyumba viwili kimoja master jiko na sebule umeme na maji wakwako ina tiles jipsum na madilisha aluminium inataka laki mbili na nusu miezi sita..itafaa?
Ile ya laki mbili na nusu imeshatoka..maeneo ya karibu na UDOM ni makuru zipo lakini bei yake ni kuanzia laki tatu ukiwa tayari nijulishe 0714140579 ukazioneNyumba ya kupanga inahitajika.
Iwe maeneo karibu na chuo cha UDOM,vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,public toilet ya ndani na jiko.
Na iwe na imezungushiwa ukuta na kuwa na nafasi ndani yakuhifadhi Gari.
Pia umeme, Maji,usalama na majiran ziwepo.
Asante,nitawasiliana naweIle ya laki mbili na nusu imeshatoka..maeneo ya karibu na UDOM ni makuru zipo lakini bei yake ni kuanzia laki tatu ukiwa tayari nijulishe 0714140579 ukazione