Vyumba viwili vinapatikana kwa wanaohitaji kupanga

Vyumba viwili vinapatikana kwa wanaohitaji kupanga

Umkomboti

Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
48
Reaction score
3
maeneo ya ubungo basi moja kokote uendako mjini mjini fensi geti usalama wa kutosha maji nyumba ya pili kodi 80,000 kwa mwezi masharti awe single men au women kodi miezi sita ni pm kwa yeyote interested
 
single tena??? mimi ni single lakini hayo masharti nayakimbia sana
 
Sababu ya masharti hayo ni ipi?

Nyumba ikoje ikoje yani...hebu ielezee kinagaubaga labda. Ikiwezekana #teamPICHA ihusike.
 
Back
Top Bottom