Vyumba vya kupanga Kigoma, Kibondo ni bei gani?

Vyumba vya kupanga Kigoma, Kibondo ni bei gani?

botafongo jr

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
107
Reaction score
17
Habar wakuu!

Nauliza wastani wa bei za vyumba maeneno ya kibondo mjini mkoani kigoma.

Asante
 
Si zaidi ya laki na nusu kwa nyumba nzuri kubwa ya familia.
 
Ila kigoma Kuna vumbi mkuu na udongo mwekundu ule ukipga kiwi moka after 10minutes umetembea moka imebadilika rangi labda kama una ndinga
 
Back
Top Bottom