botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Hii inaweza kuwa nyumba ya vyumba vingap?Si zaidi ya laki na nusu kwa nyumba nzuri kubwa ya familia.
Vitatu, sebule, jiko na choo.Hii inaweza kuwa nyumba ya vyumba vingap?
Asante sana, na kwa chumba kimoja ambacho ni self wastan wa kodi ukoje?Vitatu, sebule, jiko na choo.
Wakazi wa kibondo msaada tafadhaliAsante sana, na kwa chumba kimoja ambacho ni self wastan wa kodi ukoje?
.Asante sana, na kwa chumba kimoja ambacho ni self wastan wa kodi ukoje?
40-50kWakazi wa kibondo msaada tafadhali
Asante ndugu40-50k