Vyumba vya kupanga master bei na eneo hapa Arusha mjini!

Vyumba vya kupanga master bei na eneo hapa Arusha mjini!

Naomba kushauriwa

Mtu anayefanya kazi Summit Centre Arusha inafaa apange chumba wapi?
 
Naomba kushauriwa

Mtu anayefanya kazi Summit Centre Arusha inafaa apange chumba wapi?
Mtu kama huyo anaweza kupanga daraja mbili,kijenge, mianzin na kaloleni, sehemu zingine ni levolosi ya makao mapya, ngarenaro na sakina,haya ni maeneo ambayo yapo karibu na eneo la summit center.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana instagram naona nyumba nying ziko Moshono na Olasiti

Labda kama kuna mtu anafahamiana na dalali mstaarabu naomba aniconnect
 
Back
Top Bottom