Vyumba vya wanafunzi vya kupanga karibu na maeneo ya UDSM

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei zikiwa ni 30,000/=, 35,000/=, 40,000/=, 45,000/= na 50,000/=. Wote mnakaribishwa.

Kwa mawasilano zaidi piga simu namba zifuatazao:

0626816811
AU
0687374659

Mhusika: Therezia Michael

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Pesa yako tu baba yangu. Wanahaitaji wapangaji, na siyo lazima wawe wameoa au kuolewa. Wanafunzi wengi ni watu ambao bado hawako kwenye ndoa
Hahahah mie pia nina jambo langu hapo ila naomba hakikisha unaleta wanafunzi wa kike wengi zaidi baada ya mie kuingia.

Ila tu sasa mambo ya kufuatiliana fuatiliana ndio sintoyahitaji. Wamama wa kichaga mnakuwaga na mambo ya kishwaini sana.
 
..changanyikeni ni mtaa au?

Hzo Bei ni hostel per kichwa au ni chumba per mwezi?
Aliyeweka tangazo hili humu jukwaani siyo mhusika wa vyumba hivyo. Unashauriwa upige hizo namba zilizowekwa hapo juu kwa mawasiliano zaidi
 
Hahahah mie pia nina jambo langu hapo ila naomba hakikisha unaleta wanafunzi wa kike wengi zaidi baada ya mie kuingia.

Ila tu sasa mambo ya kufuatiliana fuatiliana ndio sintoyahitaji. Wamama wa kichaga mnakuwaga na mambo ya kishwaini sana.
Aweke picha maana chumba Cha 30,000/ mwezi SI poa
 
Aliyeweka tangazo hili humu jukwaani siyo mhusika wa vyumba hivyo. Unashauriwa upige hizo namba zilizowekwa hapo juu kwa mawasiliano zaidi
Unajua kuwa ni kosa kisheria kutangaza biashara ya mtu bila kuwa na maelezo muhimu ya hyo biashara?

Mana huo unaweza ukawa ni aina mojawapo ya uchonganushi?

Au usikute hakuna hyo huduma inayotangazwa na kukawa na labda danguro..
 
Soma taarifa vizuri, follow instructions. Umesoma sheria? Unaijua sheria inaitwa Law of Agency? Doctrine yake unaijua inafanyaje kazi? Ndiyo maana huwa mnafeli mitihani. Please follow instructions!
 
Kwa wewe ni agent..??
 
Back
Top Bottom