Vyungu vua maua (urns)

Vyungu vua maua (urns)

GoNsololo

Member
Joined
Nov 24, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Hufaa kuweka maua artificial au fresh flowers na kuleta mvuto popote pale ofisini nyumbani maeneo ya jikoni chumbani mezani pa kulia sebleni vibalazani hata nje ya Nyumba nk. Majira yote
Vipo vya saiz mbalimbali ,bei sh 5000 tsh (pichani) havizidi kg 1 uzito
Kwa mahitaji nichek
0712278654
0717290887
0767290887
Dodoma
 

Attachments

  • 1450241970063.jpg
    1450241970063.jpg
    52.7 KB · Views: 186
  • 1450242037912.jpg
    1450242037912.jpg
    53.9 KB · Views: 154
nahitaji sana hivyo vyungu ila sasa uko mbali na mm niko dar wewe dom itakuwaje
 
Naam ladyfurahia dodoma si mbali huwa natuma popote pale nafanya package nzuri tu na salama kulingana na idadi unayoitaji
Naomba tuwasiliane hapa 0717290887 au nipatie nambayo
Karibu
 
Back
Top Bottom