Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Kuna habari kuwa vyuo mbalimbali vimeshatoa majina ya waliokata rufaa kwa bodi ya mikopo kwa mwaka 2014/15 vikiwemo chuo cha UDSM na RUCO.Mwenye taarifa ya chuo au vyuo vingine ambavyo vimeshatoa majina atupie humu.Taja jina la chuo ambacho kimeshatoa majina ikiwezekana na idadi ya waliopata.