vyuo bora vya diploma IT .

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,785
Habari ndugu wa Jf. naomba kufahamishwa vyuo vya diploma vinabyofahamika kwa ubora wake navyoweza kuomba kusoma diploma ya IT au Comp sayansi kwa sasa. nimeomba CBE nimekosa na muda hivi sasa . Sifa ninazo nina plincipal mbili za siting tofauti.
 
Omba St Joseph,but diploma Yao ni miaka 3,ni wazuri Kwa IT or computer science
 
Habari ndugu wa Jf. naomba kufahamishwa vyuo vya diploma vinabyofahamika kwa ubora wake navyoweza kuomba kusoma diploma ya IT au Comp sayansi kwa sasa. nimeomba CBE nimekosa na muda hivi sasa . Sifa ninazo nina plincipal mbili za siting tofauti.
mbona kwa hizo sifa ungeweza kusoma hata degree?hiyo st joseph ni nzuri pia udom wameanzisha diploma ya comp science gharama ziko chini
 
nenda chuo cha St. Joseph kipo buruguni na chuo cha ICT KIPO ilala karume karibu na jengo la machinga complex karume halafu nenda mlimani school of computer nao wanaotoa kozi hiyo uliyoomba natumai mpaka hapo utafanya
Habari ndugu wa Jf. naomba kufahamishwa vyuo vya diploma vinabyofahamika kwa ubora wake navyoweza kuomba kusoma diploma ya IT au Comp sayansi kwa sasa. nimeomba CBE nimekosa na muda hivi sasa . Sifa ninazo nina plincipal mbili za siting tofauti.
 
Pia unaweza kupitia UCC tawi la Mbezi goig au Posta mpya azikiwe kwa hapa dsm, mikoani nenda nasikia wapo arusha, mwanza, mbeya na dodoma ili kupata information zao pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…