Vyuo Gani Bora vya ufundi vya private? VETA kupata nafasi ni shida

Vyuo Gani Bora vya ufundi vya private? VETA kupata nafasi ni shida

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wadau naomba mnijuze vyuo vya ufundi vya private vilivyobora sana hapa Tanzania vilivyo SAWA na VETA au zaidi
 
Umefaulu kidato cha nne kwa ufaulu gani na nini unataka kusoma kijana
 
Wadau mweny ufahamu wa vyuo Bora vya ufundi stand vya private, naomba ulanijuze. Veta mtoto kaomba miaka 2 lakini hapati sababu ya waombaji ni wengi kuliko nafasi zilizopo
 
Wadau mweny ufahamu wa vyuo Bora vya ufundi stand vya private ,,naomba ulanijuze..Vyeta mtoto kaomba miaka 2 lakini hapati sbb ya waombaji ni wengi kuliko
Ushafeli maisha huna akili division fooo
Hayonniakni yako ndo maana natafuta option
 
Wadau mweny ufahamu wa vyuo Bora vya ufundi stand vya private ,,naomba ulanijuze..Vyeta mtoto kaomba miaka 2 lakini hapati sbb ya waombaji ni wengi kuliko

Hayonniakni yako ndo maana natafuta option
Mkuu Mungu akupe hitaji la moyo wako I was jocking.
 
Back
Top Bottom