Mtu akisema anasoma Chuo kikuu,
haitaji hata kukitaja kwa jina. moja kwa moja amakuwa anamaanisha UDSM
Nafikiri Tanzania stili tuna chuo kikuu kimoja tu!

vinamatter sana, angalia kama udsm na mzumbe, wengi wanapenda sana wachukue watu wa udsm. mfano, kupata chuo cha kufundisha, GPA ya university of dsm wanataka at least three kwenye undergraduate, ila vyuo vingine wanataka at least 3.5. udsm wanaajiriwa kwanza wengine wanafuata.

kuna rafiki yangu alichaguliwa kwenda UDOM,Akamwaga bibi yake akamwmbia bibi mie naenda kusoma UDOM,bibi yake akamwambia 'jitahidi mjukuu wangu usome mpaka ufike chuo kikuu cha daslam'. .
mfano wanasheria, hivi mzumbe na vyuo vingine wanasoma kwa miaka mitatu tu alafu wanaenda law school, udsm wanasoma miaka mnne na ule wa law school ni wa tano, ivi unafikiri tutakuwa sawa? udsm iko juu na wanasheria wa vyuo vingine ambavyo sio udsm ni vilaza wa ajabu. maofisini ni mashahidi wote tunaona.

ndio kasumba iliojengeka pale chuon kwamba products za ud ni bora kuliko za vyuo vngne ila in reality,2ko sawa wote.

mfano wanasheria, hivi mzumbe na vyuo vingine wanasoma kwa miaka mitatu tu alafu wanaenda law school, udsm wanasoma miaka mnne na ule wa law school ni wa tano, ivi unafikiri tutakuwa sawa? udsm iko juu na wanasheria wa vyuo vingine ambavyo sio udsm ni vilaza wa ajabu. maofisini ni mashahidi wote tunaona.
Vyuo vina mater tusidanganyane.
Hakuna kitu kama icho..mwisho wa siku je una referee ndio ana matter..
Well said.
Wakuu naomba mnijuze, hivi katika swala la kuajiri chuo ulicho soma ni moja ya kigezo, mfano udom nasikia watawapa kipaumbele wale walio soma vyuo vya serikali na vyenye majina. Hio imekaaje huko maofisini? hivi SAUT kinajina? Nawakirisha hoja
No please piga upper second ya ukweli au first class kuwa na material ya uhakika kichwani na right attitude. Omba kazi mwonyeshe mwajiri waweza deliver utapata kazi popote. kazi za kushikwa mkono nyingi ni za pesa ya kujikimu tu lakini ukizungumuzia pesa ya ukweli ebwana mzungu hakupi kama ukiwa kilaza lazima utachemsha tu. nadhani vijana vyuoni someni kwa ukweli msidese hamtafika mbali haijalishi upo chuo gani.

Hivi chenge,membe,kikwete,ROWASA na Balali walisoma chuo gan vile?

nafikiri course kwenye vyuo husika ndo zina mater zaidi, huwezi kweli kumlinganisha alosoma udaktari SAUT na yule wa KCMC au muhimbili, au alosoma CIVIL DIT na COET, DIT wako juu sana, ARDHI UNIVERSITY course zake zipo unique, ni aghalabu kuzipata vyuo vingine.