only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
Kama kimesajiliwa Tcu kitakuwa chuo bora
TCU ipi mkuu..kama ni hii ya TZ ninawasiwasi sana na quality ya vyuo vyetu vikuu........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kimesajiliwa Tcu kitakuwa chuo bora
Ukweli ni kwamba siku hizi suala consideration ya chuo ulichosoma ktk soko la ajira ni jambo la msingi.Waajiri wengi hasa wa taasisi/mashirika binafsi wanakwepa sana kuajiri watu waliosoma vyuo ambavyo vinaonekana kuwa ni VINARA WA MIGOMO,wanakwepa kutokea migomo kazini.
we unaumwa.
SAUT nacho ni chuo kikuuu? mhhhh makubwa hayo!
Kamua bro usiumize kichwa, kinacho matter ni unanini kichwani! Ishu za chuo kikisha sajiliwa na TCU ni chuo halali na kina value sawa na vingine.:lol: