humu kuna watu wengi.....may b hata top officials wa udom wapo,xo kama huelewi kaa kimya
naombeni kujuzwa,UDOM WATATOA lini majina ya walovhaguliwa?
anaejua aru wanatoa lini majina atujuze jamani
Majina bado,but na hio ulioandika ndio news alert??
Mbona ndugu hata kuandika hujui,hebu ona eti unaandika 'waliovhaguliwa' nn unamaanisha.