junior mbani
Member
- Sep 16, 2014
- 52
- 59
wamebaki ardhi yani daaa i.f.m udism washafnya yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh tehKaka kweli maswali mengine magumu kwani kuna mtu anafanyia udom humu hadi ajue lini wanatoa.... au kuna tangazo sehem kuwa udom wanatoa just nacte tu ndo walisema udom co muda watatoa so hakuna anaye jua kaka ila maswali.ako yangekuwa kwenye mtihani ningesema out of syllabus
humu kuna watu wengi.....may b hata top officials wa udom wapo,xo kama huelewi kaa kimya
Ila na ww cjui wa wapiii... unadhani hata kama top officials wa udom wakiwa humu watasema kuwa kesho tunatoa majina? Ingekuwa hivyo tusinge hangaikaa kukesha internet kusubiri selection.... we unaona tangu alipo creat hii thread kapata jibu sahihi? Na umesema kuna top officals humu wa udom
Vp mkuu.....wengine wanajibu kwa vitendo tu xo just wait.....sio lazima wajibu....mbona kuna politicians wengi humu ila hawajibu mada zinazowahusu kwenye jukwaa la siasa......!
endelea kusubiri..obvious NIT wanachelewaga ht mie mwaka jana nlisubir sana..lkn zkatoka na npo pale..chuo kinafunguliwa november 14 so bdo wana mda..na ht ukichaguliwa utapata tu mda wa kujiandaa
KARIBU NIT
Thanx.Lkn vp kuhusu mkopo hawazingui?And kipo maeneo gan?