Vyuo kadhaa kutoa majina ya waliodahiliwa muda wowote

Vyuo kadhaa kutoa majina ya waliodahiliwa muda wowote

Status
Not open for further replies.
Kaka kweli maswali mengine magumu kwani kuna mtu anafanyia udom humu hadi ajue lini wanatoa.... au kuna tangazo sehem kuwa udom wanatoa just nacte tu ndo walisema udom co muda watatoa so hakuna anaye jua kaka ila maswali.ako yangekuwa kwenye mtihani ningesema out of syllabus
teh teh teh
 
humu kuna watu wengi.....may b hata top officials wa udom wapo,xo kama huelewi kaa kimya

Ila na ww cjui wa wapiii... unadhani hata kama top officials wa udom wakiwa humu watasema kuwa kesho tunatoa majina? Ingekuwa hivyo tusinge hangaikaa kukesha internet kusubiri selection.... we unaona tangu alipo creat hii thread kapata jibu sahihi? Na umesema kuna top officals humu wa udom
 
Vp mkuu.....wengine wanajibu kwa vitendo tu xo just wait.....sio lazima wajibu....mbona kuna politicians wengi humu ila hawajibu mada zinazowahusu kwenye jukwaa la siasa......!
 
Vp mkuu.....wengine wanajibu kwa vitendo tu xo just wait.....sio lazima wajibu....mbona kuna politicians wengi humu ila hawajibu mada zinazowahusu kwenye jukwaa la siasa......!

Pamoja mkuuu...... ngoja tusubiri kaka
 
Hatimaye vyuo hivi vimetoa majina kwa wanafunzi watakaojiunga:
bonyeza kucheki jina lako!!

https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=187627&d=1411479559[URL="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=187627&d=1411479559"]2014 UDSM

ST. AUGUSTINE 2014

ST Franscis MD Batch one
ST Franscis MD Batch two
ST Franscis MD Batch Three

STELLA MARIS MTWARA

BUGANDO BScN_2014
BUGANDO MD
BUGANDO MEDICAL LABORATORY
BUGANDO PHARMACY
BUGANDO NURSING

MUM DIRECT APPLICANTS

MUM EQUIVALENT APPLICANTS

IFM BACHELOR DEGREE 2014 2014 UDSM

ST. AUGUSTINE 2014

ST Franscis MD Batch one
ST Franscis MD Batch two
ST Franscis MD Batch Three

STELLA MARIS MTWARA

BUGANDO BScN_2014
BUGANDO MD
BUGANDO MEDICAL LABORATORY
BUGANDO PHARMACY
BUGANDO NURSING

MUM DIRECT APPLICANTS
MUM EQUIVALENT APPLICANTS

IFM BACHELOR DEGREE 2014

MWECAU_2014-2015.XLS

MAKUMIRA PROPOSED STUDENTS 2014/2015[URL="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=187627&d=1411479559"]2014 UDSM

ST. AUGUSTINE 2014

ST Franscis MD Batch one
ST Franscis MD Batch two
ST Franscis MD Batch Three

STELLA MARIS MTWARA

BUGANDO BScN_2014
BUGANDO MD
BUGANDO MEDICAL LABORATORY
BUGANDO PHARMACY
BUGANDO NURSING

MUM DIRECT APPLICANTS

MUM EQUIVALENT APPLICANTS

IFM BACHELOR DEGREE 2014

MWECAU_2014-2015.XLS

MAKUMIRA PROPOSED STUDENTS 2014/2015
[/URL]

MWECAU_2014-2015.XLS

MAKUMIRA PROPOSED STUDENTS 2014/2015

[/URL]
source hii hapa:
MAJINA YA VYUO VILIVYOTOA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO HIVYO 2014/2015 | EDDY BLOG

[URL="http://www.makumira.ac.tz/index.php/using-joomla/extensions/components/content-component/article-categories/124-tculist"][/URL]
 
jaman dit washatoa majina au bado coz siwakii kabisa hat Midomoni kwa watu
 
endelea kusubiri..obvious NIT wanachelewaga ht mie mwaka jana nlisubir sana..lkn zkatoka na npo pale..chuo kinafunguliwa november 14 so bdo wana mda..na ht ukichaguliwa utapata tu mda wa kujiandaa
KARIBU NIT
 
Thanx.Lkn vp kuhusu mkopo hawazingui?And kipo maeneo gan?
 
Thanx.Lkn vp kuhusu mkopo hawazingui?And kipo maeneo gan?

chuo kipo mabibo...mwendo wa dk 10 km kutoka ubungo(kwa miguu)...dk 10 kwenda manzese so tupo centre ambapo huduma zote zipo...khs mkopo hawazngui..pia inategea na course ulochagua...karib NIT
 
Kwa jinsi inavoonekana tcu kazi imewashinda,mana haiwezekani jukumu walilopewa likawa linafanywa na watu wengine..hii inaonesha jinsi gani tcu imetawaliwa na watendaji ambao hawajabobea katika taaluma zao,rushwa,uzembe na kutokua makini na kazi zao na hasa katika upande wa muda...,kwa hali hii maendeleo ya elimu nchini kwetu hayatakua kwa kasi inayotarajiwa...ni vyema serikali ikaweka amri na mkakati mzuri wa kushughulikia haya mambo ili kuepuka usumbufu lawama na ucheweleshwaji wa matokeo mbalimbali yahusuyo elimu ya juu Tanzania..haya ni maoni yangu...na ni ruksa kuyakosoa ili tujenge fikra ambazo zinaishi...kosoa au ongezea bila matusi au maneno machafu.Kwani waswahili wanasema...Ni bora kufa na fikra zinazoishi kuliko kuishi na fikra zilizokufa. Ahsanteni wana jf.
 
Wa kumlaumu hapa ni Kikwete, ikumbukwe mwanzo alituwekea Philipo Mulugo pale Wizarani ambaye amesoma mpaka darasa la saba, matokeo yake akafelisha wanafunzi na kwenda nchi za nje kuitia aibu nchi hata kiingereza hajui kuongea vizuri.....
Uozo huu serikalini chanzo ni JK..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom