Tetesi: Vyuo Mbalimbali Duniani Vyajiandaa Kumpatia Rais Samia Tuzo Na Udaktari wa Heshima Kwa kutambua Mchango Wake katika Sekta Mbalimbali

Soon tu rais wetu ataitwa muheshimiwa pro,dr,mama rais namimi nitafurahi sana rais kua pro
 
PHD unasomea yaani ni uwezo wa ki akili wa kwako na si kupewa mezani tena kwa rushwa. Haya nasikia tena kuna Burundi na Sherisheri nao wanazo PHD mwambie mamako mkazifakamie.
Ukiona Rais wa nchi yako anafakamia PHD za mchongo elewa kichwani hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…