kuna utata kwamba mwaka mpya wa masomo wa elimu ya juu utaanza mwakani mwezi wa pili kwa sababu kuna wanafunzi wanaohitajika kwenda jeshini kwa awamu ya tatu , je ni kweli!?
na pia nimesikia tcu walikua wanataka vyuo vianze mwezi wa kumi mwaka huu lakini kuna mkanganyiko na serikali... ideas pls
yah nlickia pia tetesi hzo,ila habari zisizo rasmi kutoka kwa wanafunzi waliojeshini ni kwamba hakutakua na awamu ya 3 na mwaka huu na pia vyuo vng vnafunguliwa mwez wa kumi mwanzon na wa tisa mwishon,
sasa inamana uzalendo kwa taifa n kwaajili ya wanafunz watakaopata 1,2 kwa art na 1_3 kwa science?mimi nilijua ni zoez kwa kila kijana atakaehitimu.na vp kuhusu majina ya waliochaguliwa tcu.mwenye taarifa ya tamko la tcu kuhusu ili