Vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake wanaongoza kudisco.....!

Vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake wanaongoza kudisco.....!

Ulisema leo ndio unatimiza miaka 8...endelea hivohivo akili yako inapanuka
 
Wana jf tuweke threads za maana kuna mambo mengi ya kujadili mbona hili jukwaa mnageuza kama fb?
 
duuuh first year bhana matatizo laki nane...!!!
 
Udsm wew mwaka huu ni nomaa kaka

Kudisco ndo kipimo cha ubora wa elimu?? frank mkweli huna la maana kupost humu?? Mkuu Invisible hili jukwaa mbona linakua f.b?? Embu chukuen mfano wa majukwaa ya international forums...great thinkers...inteligence forum...technology!!! Hii jukwaa sijui linaenda wapi!!!
 
Last edited by a moderator:

LORDVILLE nakuunga mkono 100%...nimejaribu kupitapita inteligence forum na law forum,nikajithibitishia kua education forum inadiverge from jf to fb
 
Last edited by a moderator:
nikwel kabisa maana utaona washkaji wakitupiana coment hapo juu em mada IJADILIWE KWANZA af izo story tuhamie fb na twttr
 
Back
Top Bottom