Vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake wanaongoza kudisco.....!

Vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake wanaongoza kudisco.....!

1. sua, taja kingine

watoto wa first year mnazingua sanah!! humu bora 2ngekuwa tunaupload matokeo ya 4m 4 na 4m 6 ndo m2 unaruhusiwa kujiunga naona masihara mengi sanah!! mtu akiweka thread hafikirii yeye anaandika tu upuuzi wake! fikirieni basi madogo, mna mapepe na chuo
 
Kwenye maji unaelea mie nazama wewe nani? Diver hakuna cha diver wala nini wewe ni boya



=========================
Ukipa Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
=========================
 
Hawa mwaka wa kwanza wanasubua sana

Hapa bado wako nyumbani wanatumia za wazazi/walezi wakifika huko chuoni wakapata boom zitakuja nyuzi za ajabu sana apa. Ukijadili chuo kinachofelisha sana apa itakusaidianini.
 
Eti chuo kinachoongoza kudisco, ndo sifa au ubora wa elimu? Watu wakifail kwa wingi ni kiashiria muhadhiri anamatatizo kudeliver materials. Zaman ilikuwa ni sifa ila haikuwa na tija yoyote.
 
Bora vyuo vifunguliwe, maana hawana cha kufanya Wamehama FB sasa wamehamia huku, da hivi wadau vyuo vinafungua lini?
 
vip unataka upelekwe ili ukadisco tafuta kwanza shule inayo ongoza kufelisha darasa la 4 ndo uje hapa
 
Back
Top Bottom