frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
1. sua, taja kingine
1. sua, taja kingine
Hawa mwaka wa kwanza wanasubua sana
si wanasubua bali wanasumbua.
ujumbe umefika...dogo boya sana wewe au unafikiri kila sehemu kubisha´..
wewe kilaza.
1. Sua, taja kingine
1. sua, taja kingine
Udsm wew mwaka huu ni nomaa kaka
LORDVILLE nakuunga mkono 100%...nimejaribu kupitapita inteligence forum na law forum,nikajithibitishia kua education forum inadiverge from jf to fbKudisco ndo kipimo cha ubora wa elimu?? frank mkweli huna la maana kupost humu?? Mkuu Invisible hili jukwaa mbona linakua f.b?? Embu chukuen mfano wa majukwaa ya international forums...great thinkers...inteligence forum...technology!!! Hii jukwaa sijui linaenda wapi!!!