Vyuo vikuu jamani acheni usemi huu mnajidhalilisha wenyewe

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498

Katika tafiti zangu zisizo rasmi ila zenye ukweli leo nilijikita katika vyuo vikuu 5 ambavyo vinavyotoa degree " hapa nchi ,kati ya vyuo hivyo 3 ni maharufu sana hapa Tanzania, tena hiki kimoja wapo kipo kule tunapoenda kuijadili katiba yetu, pale nilikutana na semi nyingi au sijui ndio methali zingine nilizipenda sana.

Ila usemi huu sikuupenda kwani sikujua nini maana yake DEGREE ZA CHUPI" niliwashangaa sana hawa wasomi wetu.

Kwani kuna degree za chupi zinatolewa hapa tanzania jamani?
 
Kwa maana hiyo utafiti wako haujakamilika bado? au? unataka kukusanya data JF? Badala ya uko kwenye utafiti wako?
 
degree za CHUPI ni pale binti mwanchuo anapoamua kuwavulia wahadhiri(lectures) chupi yake ili aweze kupata unafuu wa kufaulu katika masomo yake na htimae anajipatia degree yake kwa staili hii. Na hiyo ndio degree ya CHUPI. Maneno yangu sio sheria.
 
Anawavulia then anawapa wavae wao au...??
 
degree za CHUPI ni pale binti mwanchuo anapoamua kuwavulia wahadhiri(lectures) chupi yake ili aweze kupata unafuu wa kufaulu katika masomo yake na htimae anajipatia degree yake kwa staili hii. Na hiyo ndio degree ya CHUPI. Maneno yangu sio sheria.
Ndio maana ufanisi hamna ,sasa kwanini serikali isibadili huu mfumo baina ya lecture na hao wanafunzi ili kuepuka hizi degree za chupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…